Botanix – Jarida kuhusu mimea

Toleo la Kiswahili

Welwitschia mirabilis – ukulima wa kisukuku

foto

Welwitschia

Welwitschia (Welwitschia mirabilis) ni mmea wa kale unaolimwa katika eneo dogo la ukanda wa mkoa wa pwani wa Bahari ya Atlantic nchini Namibia na Kusini mwa Angola. Welwitschia kiukweli ni mti, ingawa hauonekani kama mti kwa mtazamo wa haraka wa kwanza. Mmea wote una shina moja fupi ambalo hutoa majani mawili – haya yanaonekana kama riboni mbili kubwa zenye mawimbi yaliyochakaa, ncha kumba. Welwitschia wakati mwingine unaonekana kama rundo takataka!

Jumanne 26.7.2011 10:32 | chapa | Mimea ya kigeni

Upandaji wa matunguu na miche ya maua

Toa matunguu ya maua na miche ambayo umepokea kwa njia ya postaat kutoka kwenye vifurushi, na iache ikiwa imesimama kwenye kivuli kwa takribani siku 2–3. Uwezekano wa pili ni kuipanda haraka na kuiweka kwenye kivuli kwa siku chache ili isipatwe na mwanga wa jua moja kwa moja.

Ijumaa 22.7.2011 08:56 | chapa | Maelekezo juu ya uoto wa mimea

Ufanye nini na majani yaliyofyekwa?

Kama unapenda zulia zuri lenye majani ya chini, hakika utafyeka nyasi za uwanja wako kila mara. Kwa sasa, ufyekaji majani wa mara kwa mara unazalisha kiwango kikubwa cha majani ambayo yanakusumbua tu. Wakulima wengi wa bustani ninaowafahamu wanaondoa majani yao na takataka za nyumba zao. Naweza kutikisa Kichwa changu tu katika kutoamini watu ambao pasipouangalifu wanatupa mbolea rahisi!

Ijumaa 22.7.2011 08:54 | chapa | Majani

Jinsi gani ya kufyeka nyasi za uwanja wako kwa usahihi?

Ni muhimu kufyeka nyasi zako usahihi ili kupata zulia lenye majani membamba. Hakuna msonobari utakaoonekana vizuri unapozunguukwa na nyasi zinazokufa!

Kabla ya kufyeka nyasi kwenye uwanja, Sheria zifuatazo lazima zikumbukwe – majani lazima yafupishwe kwa 1/3. Hii ina maana kwamba majani yenye urefu wa sm 6, lazima ya yafyekwe hadi sm 4. Urefu mzuri wa majani ni kwenye sm 2 hadi 3. Kama unafyeka chini sana, majani yanaweza kukauka. Baada ya majani kufyekwa, yanatakiwa yapewe maji ya kutosha (angalau maji lita 10–15 kwenye mita za mraba 1).

Ijumaa 22.7.2011 08:53 | chapa | Majani

Upandaji wa nyasi kwenye uwanja mpya

Ulaya wakati mzuri wa kupanda mpya kwenye uwanja mpya au majani zaidi kwenye uwanja uliopo ni kuanzia Mei hadi Juni. Iwapo kuna mvua ndogo wakati wa uoto, Julai unaweza kuwa wakati mzuri kupanda.

Ijumaa 22.7.2011 08:52 | chapa | Majani

Kurasa: 1-5 6-10 11-15 16-20 21-22

Kuhusu KPR

KPR - Klabu ya Wakulima wa Bustani Slovakia
KPR - Klabu ya Wakulima wa Bustani ni shirika la kimataifa la wakulima wa bustani. Soma zaidi...
Shirikisha uzoefu wako kuhusu ukuzaji mimea. Andika makala kuhusu ukulima wa bustani, mimea, upandaji wa mimea nk. na uichapishe kwenye toleo la lugha yako la jarida letu la Botanix! Wasiliana nasi kwa taarifa zaidi.