Welwitschia mirabilis – ukulima wa kisukuku
Welwitschia
Welwitschia (Welwitschia mirabilis) ni mmea wa kale unaolimwa katika eneo dogo la ukanda wa mkoa wa pwani wa Bahari ya Atlantic nchini Namibia na Kusini mwa Angola. Welwitschia kiukweli ni mti, ingawa hauonekani kama mti kwa mtazamo wa haraka wa kwanza. Mmea wote una shina moja fupi ambalo hutoa majani mawili – haya yanaonekana kama riboni mbili kubwa zenye mawimbi yaliyochakaa, ncha kumba. Welwitschia wakati mwingine unaonekana kama rundo takataka!
Jumanne 26.7.2011 10:32 | chapa | Mimea ya kigeni
Upandaji wa matunguu na miche ya maua
Toa matunguu ya maua na miche ambayo umepokea kwa njia ya postaat kutoka kwenye vifurushi, na iache ikiwa imesimama kwenye kivuli kwa takribani siku 2–3. Uwezekano wa pili ni kuipanda haraka na kuiweka kwenye kivuli kwa siku chache ili isipatwe na mwanga wa jua moja kwa moja.
Ijumaa 22.7.2011 08:56 | chapa | Maelekezo juu ya uoto wa mimea
Ufanye nini na majani yaliyofyekwa?
Kama unapenda zulia zuri lenye majani ya chini, hakika utafyeka nyasi za uwanja wako kila mara. Kwa sasa, ufyekaji majani wa mara kwa mara unazalisha kiwango kikubwa cha majani ambayo yanakusumbua tu. Wakulima wengi wa bustani ninaowafahamu wanaondoa majani yao na takataka za nyumba zao. Naweza kutikisa Kichwa changu tu katika kutoamini watu ambao pasipouangalifu wanatupa mbolea rahisi!
Jinsi gani ya kufyeka nyasi za uwanja wako kwa usahihi?
Ni muhimu kufyeka nyasi zako usahihi ili kupata zulia lenye majani membamba. Hakuna msonobari utakaoonekana vizuri unapozunguukwa na nyasi zinazokufa!
Kabla ya kufyeka nyasi kwenye uwanja, Sheria zifuatazo lazima zikumbukwe – majani lazima yafupishwe kwa 1/3. Hii ina maana kwamba majani yenye urefu wa sm 6, lazima ya yafyekwe hadi sm 4. Urefu mzuri wa majani ni kwenye sm 2 hadi 3. Kama unafyeka chini sana, majani yanaweza kukauka. Baada ya majani kufyekwa, yanatakiwa yapewe maji ya kutosha (angalau maji lita 10–15 kwenye mita za mraba 1).
Upandaji wa nyasi kwenye uwanja mpya
Ulaya wakati mzuri wa kupanda mpya kwenye uwanja mpya au majani zaidi kwenye uwanja uliopo ni kuanzia Mei hadi Juni. Iwapo kuna mvua ndogo wakati wa uoto, Julai unaweza kuwa wakati mzuri kupanda.
Ulimaji wa Klova ya majani manne - (Marsilea quadrifolia)
Marsilea quadrifolia
Klova ya majani Manne (Marsilea quadrifolia) ni jani la maji ambalo majani yake yanaonekana kama klova. Unadhani kwamba maneno jani la maji na klova hayahusiani? Hasha – maneno yote yanaelezea tabia za mmea huu usiyo wa kawaida na upambao ulimwengu wa bustani.
Alhamis 21.7.2011 14:50 | chapa | Mimea inayotumia maji mengi na mimea ya majini
Cherimoya (Annona cherimola)
Ni aina ya matunda ya joto yanayovutia yanayoingizwa Ulaya sasa. Nimefanikiwa kununua tunda la cherimoya na kulionja. Halipatikani kwenye mduka ya matunda lakini shukrani kwa ladha yangu mwenyewe nzuri, litapata sehemu yake pale vile vile!
Jumatano 20.7.2011 16:48 | chapa | Mimea ya kigeni
NOVODOR FC kwa kupambana na mdudu aina ya Colorado anayeharibu nyanya
Sidhani kama nahitaji hasa kutambulisha mdudu aina ya Colorado anayeharibu nyanya (Leptinotarsa decemlineata) kwani kila mtu anamfahamu mdudu huyu ambaye ni mharibifu mkubwa wa nyanya na haiwezekani kumtoa bila kutumia madawa. Kwa ssa, hakuna anayefahamu tiba ya kibaolojia ambayo ingeweza kutumika kwa mdudu Colorado anayeharibu nyanya.
Jinsi gani ya kushambulia wadudu walao nafaka?
Nadhanii kwamba wadudu walao nafaka wanahitaji hawatakiwi kutambulishwa kwako. Huyu ni mende mdogo wa ukubwa wa mm 3–4, ambaye anaweza kupatikana kwenye mbegu jikoni kwa mfano.
Hawa wadudu wadogo waharibifu hukua kwenye mbegu za aina zote za maganda. Ukweli, kila ganda lina viumbe hawa – wadudu walaomaharage (mende), mende wa njegere, mende wa dengu, na mende wa kwenye bustani n.k…
Ukuzaji wa Uyoga chaza (Pleurotus ostreatus)
Uyoga chaza (Pleurotus ostreatus) umekuwa maarufu sana siku hizi kuliko uyoga wa kawaida (champignon mushroom)! Ikihusianishwa na uyoga wa kawaida, Uyoga chaza una faida moja kubwa – haichanganywi na sumu (Amanita phalloides).
Kuhusu KPR
Shirikisha uzoefu wako kuhusu ukuzaji mimea. Andika makala kuhusu ukulima wa bustani, mimea, upandaji wa mimea nk. na uichapishe kwenye toleo la lugha yako la jarida letu la Botanix! Wasiliana nasi kwa taarifa zaidi.