Hifadhi ya makala zote
Hapa utaona makala zote zinazopatikana kwenye Botanix zikiwa zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
Category: zote Konifa Maelekezo juu ya uoto wa mimea Majani Michikichi Mimea inayotumia maji mengi na mimea ya majini Mimea ya kigeni Uyoga Wadudu
2011
Julai (13)Kundi: Mimea inayotumia maji mengi na mimea ya majini
Makala kuhusu ukuzaji wa mimea yenye maji na mimea ya majini
Ulimaji wa Klova ya majani manne - (Marsilea quadrifolia)
Marsilea quadrifolia
Klova ya majani Manne (Marsilea quadrifolia) ni jani la maji ambalo majani yake yanaonekana kama klova. Unadhani kwamba maneno jani la maji na klova hayahusiani? Hasha – maneno yote yanaelezea tabia za mmea huu usiyo wa kawaida na upambao ulimwengu wa bustani.
Alhamis 21.7.2011 14:50 | chapa | Mimea inayotumia maji mengi na mimea ya majini
Indian Lotus (Nelumbo nucifera)
ua ya Indian Lotus
Indian Lotus (Nelumbo nucifera) ni mmea unaovutia wa majini wenye majani ya rangi ya kijani yanayoelea juu ya maji. Maua ya rangi ya waridi kwa kawaida yanapatikana kwenye mashina myembamba yanayokua kwa sentimeta kadhaa juu ya maji.
Maua ya Indian Lotus hutumika na wafuasi wa madhehebu ya Budha wakati wa sherehe za kidini. Mmea wote hufaa kwa matumizi ya binadamu, ingawa hasa mbegu na mzizi hutumika kwenye mapishi ya kitamaduni Kusini-Mashariki yote ya Asia. Indian Lotus ni mmea wa paludal ambapo unaweza kuoteshwa kama vile unavyooteshwa lily ya majini yanayonukia. Siyo vigumu kuotesha mmea huu kwenye hali zetu; mtu ni lazima ajue ni kwa namna gani!
Jumapili 9.8.2009 11:54 | chapa | Mimea inayotumia maji mengi na mimea ya majini
Kuhusu KPR
Shirikisha uzoefu wako kuhusu ukuzaji mimea. Andika makala kuhusu ukulima wa bustani, mimea, upandaji wa mimea nk. na uichapishe kwenye toleo la lugha yako la jarida letu la Botanix! Wasiliana nasi kwa taarifa zaidi.