Hifadhi ya makala zote
Hapa utaona makala zote zinazopatikana kwenye Botanix zikiwa zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili.
Category: zote Konifa Maelekezo juu ya uoto wa mimea Majani Michikichi Mimea inayotumia maji mengi na mimea ya majini Mimea ya kigeni Uyoga Wadudu
2011
Julai (13)Kundi: Majani
Namna ya kukuza majani na utunzaji wa majani
Ufanye nini na majani yaliyofyekwa?
Kama unapenda zulia zuri lenye majani ya chini, hakika utafyeka nyasi za uwanja wako kila mara. Kwa sasa, ufyekaji majani wa mara kwa mara unazalisha kiwango kikubwa cha majani ambayo yanakusumbua tu. Wakulima wengi wa bustani ninaowafahamu wanaondoa majani yao na takataka za nyumba zao. Naweza kutikisa Kichwa changu tu katika kutoamini watu ambao pasipouangalifu wanatupa mbolea rahisi!
Jinsi gani ya kufyeka nyasi za uwanja wako kwa usahihi?
Ni muhimu kufyeka nyasi zako usahihi ili kupata zulia lenye majani membamba. Hakuna msonobari utakaoonekana vizuri unapozunguukwa na nyasi zinazokufa!
Kabla ya kufyeka nyasi kwenye uwanja, Sheria zifuatazo lazima zikumbukwe – majani lazima yafupishwe kwa 1/3. Hii ina maana kwamba majani yenye urefu wa sm 6, lazima ya yafyekwe hadi sm 4. Urefu mzuri wa majani ni kwenye sm 2 hadi 3. Kama unafyeka chini sana, majani yanaweza kukauka. Baada ya majani kufyekwa, yanatakiwa yapewe maji ya kutosha (angalau maji lita 10–15 kwenye mita za mraba 1).
Upandaji wa nyasi kwenye uwanja mpya
Ulaya wakati mzuri wa kupanda mpya kwenye uwanja mpya au majani zaidi kwenye uwanja uliopo ni kuanzia Mei hadi Juni. Iwapo kuna mvua ndogo wakati wa uoto, Julai unaweza kuwa wakati mzuri kupanda.
Kuhusu KPR
Shirikisha uzoefu wako kuhusu ukuzaji mimea. Andika makala kuhusu ukulima wa bustani, mimea, upandaji wa mimea nk. na uichapishe kwenye toleo la lugha yako la jarida letu la Botanix! Wasiliana nasi kwa taarifa zaidi.